MAELEZO YA UJUMLA

1 Tafadhali tumia menyu ya kushoto ili kuweza kuangalia ankara, kutuma usomaji, kutoa taarifa ya mivujo, kutoa taarifa ya wizi wa maji au kutuma malalamiko.
2 Katika mfumo huu mteja/mwananchi anatakiwa kutuma taarifa ambazo ni sahihi. Mfumo unarekodi taarifa ya eneo la mteja/mhusika wakati wa kutuma habari (Usomaji au taarifa za wizi)
3 Taarifa zitakazowekwa zitakua ni siri kwa ajiri ya matumizi ya ofisi tu.
4 Namba za simu zinazowekwa na mtoa taarifa ziwe sahihi (mpangilio ni: 0742111333), kwani watumishi wa Mamlaka ya Majisafi Mbeya wanaweza piga simu kwa ajiri ya ufatiliaji zaidi.
5 Kwa usomaji wa uniti za dira nyumbani, mtumaji lazima atume pamoja na picha aliyopiga kwa wakati husika. Kamera itakayotumika iwe inatoa picha vizuri.
6 Kwa maelezo zaidi, tafadhali piga simu ya bure ya MAMLAKA NAMBA: 0800110088